''Niambie'' by Harmonize




Hmm hmm hmm
Mujini kipenzi silani shilingi baby
Kupendana zamani ndo wanavyosemaga
Wazuri ni wengi ila uongo mwingi baby
Wakishaviona vya ndani basi wanakumwaga
Ndo maana
Ukichelewa dukani mie kamoyo kananidundaga
Nawaza asije mangi jirani akakuonga kilo ya unga

Mbaya zaidi sina kazi nakosa senti tano ya kipande
Bora nikuweke wazi yanini nikufiche Gambe
Tumeumbiwa shida maradhi ndo chanzo mpaka wengi wadande
Niweke wazi nikipi kinafanya Unipende

Niambie
Tell me baby love
Oh basi niambie
Vipi unanipenda ingali sina doo
Niambie
Oh basi niambie (oh basi niambie)
Tell me baby love
Usije nitenda ukaniumiza roho

Sikuhizi magari ya wakongo mapesa mara nyumba mbezi
Usinichanganye na ubongo nidate kisa mapenzi
Sijakuwekea ndumba umenipendea rumba
Vipi nikija kudunda oooh oooh
Usije mgezea punda ukaniachia ngunga
Wanakumendea chunga oooh oooh

Mbaya zaidi sina kazi nakosa senti tano ya kipande
Bora nikuweke wazi yanini nikufiche gambe
Tumeumbiwa shida maradhi ndo chanzo mpaka wengi wadande
Niweke wazi ni kipi kinafanya unipende

Niambie (tell me)
Tell me baby love (tell me)
Ooh Basi niambie
Vipi unanipenda ingali sina doo (tell me)
Niambie
Ooh Basi niambie (tell me Ooh Basi niambie)
Tell me baby love
Usije nitenda ukaniumiza roho

Umenipendea
kipi mama (pendea)
basi sema (umenipendea) 
Umenipendea nini na mini sina doo (pendea) 
Umenipendea
tell me baby love (pendea)
oh basi niambie (umenipendea)
Umenipenda ingali sina 


Post a Comment

0 Comments