''Ananikomoa'' Lyrics By Aslay




Oooh yeah… Oh yeeeah 
Lalalila lila. Oooh yeah… 

[VERSE 1] 

Eh Mungu baba simamisha dunia nishuke 
Kama na kufuru nimechoka mapenzi niache 
Baba naganga mama naganga nahagaika kuzichanga 
Sina kiwanja sina kitanda uongo huu 
Mimi ni simba yeye ni yanga 
Yanini vibweka na vimbwanga 
Eeh mungu baba ninakuomba nisaidi eh 
Ahh mi mpaka nashanga 
Au kachoka daga 
Maana vibwekabweka vimezidi 
Oh jipu tumbuka usaa 
Shibe shake ukaja 
Kila siku visa visa vinazidi ii 

[CHORUS] 

Maji njoo maji njoo 
Njoo ninawe mikono 
Penzi laa sikitiko 
Bora lifike ki-komo, aaah 
Ana nikomoa (ananikomoa) 
Hadai risitii yee (ananikomoa) 
Ohh baby ana ni komoa (ananikomoa) 
Ooh Nimechoka sitaki yeye (ananikomoa) 

[VERSE 2] 

Ananidharau Ananiacha hoi (hoi) 
Anajisahau ananiona toi (toi) 
Mwenzenu mateso daily ninapata shida 
Kupenda napenda ila napoteza muda (Muda muda aah eeeh, aah eh ) 
Aah mpaka nashanga au kachoka daga 
Mana vibweka bweka vimezidii Ohh jipu tumbuka usaa 
Shibe shake ukaja Kila siku visa visa vinazidii 

[CHORUS] 

Maji njoo maji njoo 
Njoo ninawe mikono 
Penzi laa sikitiko 
Bora lifije ki-komo aaah Ana ni komoa (ananikomoa) 
Hadai risitii yee (ananikomoa) 
Ohh baby ana ni komoa (ananikomoa) 
Ooh Nimechoka sitaki yeye (ananikomoa)

Post a Comment

0 Comments