''Mwanza'' Lyrics By Rayvanny ft Diamond Platnumz




Vanny Boy…. Ehh Vanny boy. Ehe. They are not ready for this 

[CHORUS] 
Eeh nyege nyege 
Kwetu mwanza nyegezi Hmmm nyege nyege 
Nishushe mwanza nyegezi 
Eeh nyege nyege 
Kwetu mwanza nyegezi 
Hmmm nyege nyege 
Nishushe mwanza nyegezi 

[VERSE 1] 
Oya wind your waist 
Njoo nipatie Commando 
Nikupe cha mkwesi 
Kwa miuno ya taekwondo 
Asa chekele 
Mwendo wa kandanda 
Ndani ya makwanda Sa nisongeze 
Leta msambwanda 
Nikazie ngangangaaa (chiii!) 
Kananivuta ghetto 
Nkapinge bunduki (High bunduki) 
Ile naogopa central 
Michezo ya Amber Rutty (Amber Rutty) 

[CHORUS] 
Eeh nyege nyege 
Kwetu mwanza nyegezi 
Hmmm nyege nyege 
Nishushe mwanza nyegezi 
Eeh nyege nyege Kwetu mwanza nyegezi 
Hmmm nyege nyege 
Nishushe mwanza nyegezi 

[VERSE 2] 
Yaani kama mjaluo 
Shepu ya Mombasa 
Hapendagi mpasuo 
Hata akishinda basata 
Tepe tepe mtoto kama supu teke teke (kongoro) 
Kwa mateke mwite Fally Ipupa wa temeke (Ndombolo) 
Shaku shaku ya masai (Oooh masai) 
Kama kama nachuma papai (Oooh papai) 
Funika funua (twendee) 
Bandika bandua (twendee) 
Anika anua (twendee) 
Kanipa chukua (twendee) 

[CHORUS] 
Eeh nyege nyege 
Kwetu mwanza nyegezi 
Hmmm nyege nyege 
Nishushe mwanza nyegezi 
Eeh nyege nyege 
Kwetu mwanza nyegezi 
Hmmm nyege nyege 
Nishushe mwanza nyegezi 

Oya fiti kalikiti ti 
katoto hakashikiki 
kwenye bilingiti  ti 
Huvunjaja na kiti (oya!) 

Oooh sa iweke Ah iweke iweke… Ah iweke 
Ipitishe kwa chini Ah iweke iweke… Ah iweke 
Miendo ya kazi kazini Ah iweke iweke… Ah iweke 
Hii ile ndindindii Ah iweke iweke… Ah iweke 
Ngoja shake it ivoo Ah iweke iweke… Ah iweke 
Twende shaku kidogo Ah iweke iweke… Ah iweke 
Chuma magimbimbi Ah iweke iweke… Ah iweke    

Post a Comment

0 Comments